Connect with us

Michezo

Waamuzi wapewa neno – Mwanaspoti


By Doris Maliyaga

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Djibouti, M’barek Sarah ameomba waamuzi wa michuano ya Cecafa wanawake wawe marafiki na kuwaelekeza wachezaji.
Sarah ambaye kikosi chake kimeng’olewa hatua ya makundi kikiwa hakijashinda hata mchezo mmoja.
Kilikuwa Kundi A, wakafungwa na Uganda 13-0, Kenya 12-0 na Ethiopia 8-0 kwenye Kundi B, walipokiwa.
“Ombi langu waamuzi wa mashindano haya kuwa karibu na wachezaji hata kama wanakosea, wazungumze na kuwaelekeze ili wajifunze,” alisema Sarah.
Alisema, wengi wa washiriki wa mashindano hayo ndio wanajifunza, kama waamuzi hawazungumzi ni ngumu kujifunza na kurekebisha udhaifu wao.
Kocha huyo aliyefafanua wamefanya maandalizi ya wiki mbili tu ndipo wa wakaja kwenye mashindano na wachezaji wake hawajui vitu vingi.


Source link

Comments

More in Michezo