Connect with us

Michezo

Simba yaendeleza rekodi tamu – Mwanaspoti


By Olipa Assa

RUVU Shooting imerudia rekodi ya misimu iliyopita ambapo inashindwa kutamba mbele ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba ambapo leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wamekubali kipigo cha mabao 3-0.
Mabao ya Simba yalifungwa na Miraji Athuman aliyetumia mawili huku Mbrazili, Tairone Santos.
Hii ni mechi ya 11 kwa timu hizo kukutana kuanzia mwaka 2012 – 2019.

2019-2020
Nov 23, 2019
Ruvu 0 v Simba 3

2018-2019
Okt 28, 2019
Ruvu 0-5 Simba
Mei 19, 2019
Simba 2-0 Ruvu

2017-2018
Ago 26, 2017
Simba 7-0 Ruvu
Feb 04, 2018
Ruvu 0-3 Simba

2016-2017
Sept 07, 2016
Simba 2-1  Ruvu
Des 29, 2016
Ruvu 0-1 Simba

2014-2015
Nov 09, 2014
Simba 1-0 Ruvu
Mei 22, 2015
Ruvu 0-3 Simba

2013-2014
Okt 05, 2013
Ruvu 1-1 Simba
Mei 02, 2014
Simba 3-2Ruvu

2012-2013
Sept 23, 2012
Simba 2-1 Ruvu
Mei 05, 2013
Ruvu 1-3 Simba


Source link

Comments

More in Michezo