Connect with us

Michezo

Maafande wa JKT Tanzania kwa Yanga acha tu


By Waandishi wetu

JANA Ijumaa Mabingwa wa kihistoria, Yanga walipata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania, ukiwa ushindi wa pili tangu timu hiyo iwe chini ya Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa baada ya Mwinyi Zahera kutimuliwa.

Lakini kama hujui ni kwamba ushindi huo wa jana kwa Yanga ni wa 11 kuonyesha kuwa, maafande wa JKT hawageuzi kwa Vijana wa Jangwani.

Rekodi  zinaonyesha kwamba tangu 2013, maafande hao wa JKT  hawajawahi kuonja ushindi wala kupata sare katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Yanga. Ebu cheki hapo chini rekodi zilivyo;

2019-2020
Nov 22, 2019
Yanga 3-2 JKT

2018-2019
Nov 29, 2018
Yanga 3-0 JKT
Feb 10, 2019
JKT 0-1 Yanga

2016-2017
Okt 26, 2016
Yanga 4-0JKT
Des 17, 2016
JKT 0-3 Yanga

2015-2016
Sept 20, 2015
Yanga 4-0 JKT
Feb  06, 2016
JKT 0-4 Yanga

2014-2015
Okt 05, 2014
Yanga 2-1 JKT
Mar 25, 2015
JKT 1-3 Yanga

2013-2014
Nov 01, 2013
JKT 0-4 Yanga
Apr 05, 2014
Yanga 5-1 JKT


Source link

Comments

More in Michezo