Tuesday, August 14, 2018
Home Entertainment

Entertainment

entertainment habari za michezo bongo,habari za michezo leo,habari mpya za bongo,habari za michezo leo man u,gazeti la champion,habari leo,habari za simba leo,makala za burudani

KHADIJA KOPA: Na mi naacha Mziki

Msanii mkongwe wa taaarabu nchini Khadija Kopa amefunguka na kuzungumzia hali ya taarabu ilivyo sasa nchini na kusema kuwa wasanii wengi wamekuwa jeuri na...

Ali Kiba kortini matunzo ya mtoto

MFANYABIASHARA wa mitumba Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba...

Ngoma ya Chege na Diamond yatua Liverpool

Ngoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani. Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share...

Barua za Kimapenzi Kati ya Marehemu Tupac na Madonna Kupigwa mnaada Marekani.

Msanii wa muziki wa pop Madonna ameshindwa katika kesi ya kumzuia rafikiye wa zamani kutouza barua za kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi kati yake...

Kifo cha masogange mwanasheria afunguka hali ilivyokuwa

Msanii anayepamba video za muziki (video queen), Agnes Gerald ‘Masogange’ amefariki dunia leo.Taarifa hizo zimethibitishwa na mwanasheria wake, Reuben SimwanzaSimwanza amesema taarifa za kifo...

Burudika na video ya "African Beauty" Diamond na Omarion

Ungana nami hapa kila siku upate radha tofauti tofauti na zenye ubora katika anga la Muziki.Ni mimi gwiji la burudani: sabby@spoti.co.tz

Burudika na Video ya (the mafik )PASSANGER!

Ungana nami hapa kila siku upate video bora kabisa za nyimbo za wasanii mbalimbali. Tunasema, "Burudani kiganjani mwako"!!Na:sabby@spoti.co.tz

Dj Rasta Bob Wa Uganda Adai Zari Alikuwa Mpenzi Wake Kabla Hajamuacha na Kukimbilia...

Dj na mtangazaji maarufu nchini Uganda Robert Ogwel maarufu kama Dj Rasta Bob Mc amefunguka na kudai Ex wa staa wa Bongo...

Kifesi ajiengua WCB, ana hofu ya mungu pia

Aliyekuwa nguzo ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Diamond Platnumz katika kitengo cha picha akiwa ndiye mpigapicha mkuu, Andrew almaarufu Kifesi ametangaza kuacha...

Wamekaa benchi na mabao yao England

LONDON, ENGLANDLIGI Kuu England bado inaendelea kuwa ligi ya ushindani zaidi duniani. Ushindi umekuwa mkali zaidi ndani ya misimu miwili ya hivi karibuni baada...

Stay connected

11,537FansLike
927FollowersFollow
6,413SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Latest article

Italy bridge: Bridge rescuers search into the night in Genoa

Cries are reportedly heard from the debris of the road bridge collapse, which left at least 26 dead. Source link

Teenager recovers after lightning strike in Arizona

A teenager has described the moment he was struck by lightening in a park in Arizona. Source link

Venezuela: Military figures arrested after drone 'attack'

The arrests of a National Guard general and colonel come after a drone 'attack' on the president. Source link
}