Ajira

Spoti Ltd ni kampuni inayotambulika na BRELA na imesajiliwa kihalali kufanya kazi nchini Tanzania, Kenya na Uganda. Tunahusika na Media and Entertainment.
Kama unataka kujiunga na Timu yetu kuwa mwanachama ili tuendeleze kampuni yetu karibu sana
VIGEZO:

  • Uwe na miaka 25 na kuendelea
  • Uwe umehitimu chuo na una cheti cha stashada na kuendelea
  • Uwe na uzoefu wa kutumia Computer
  • Uwe una uwezo wa kuzungumza, kusoma na kuwandika Kiingereza na Kiswahili vizuri.
MAWASILIANO
Wasiliana nasi kupitia 
S.L.P 36186 Kigamboni, Dar es salaam
Simu: +255 652 113375
email: habari@spoti.co.tz