Zahera awatega Tambwe, Makambo

0
8KIKOSI cha Yanga leo jioni kitashuka kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini hapa ili kuivaa na Mawenzi Market katika mechi maalumu ya kumuaga aliyekuwa nahodha wa zamani, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, huku Kocha Mwinyi Zahera akiwatega kimtindo nyota wake wanne, akiwamo Amissi Tambwe na Heritier Makambo.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here