Tayari ligi ya malkia yarejea rasmi

0
11Tayari imerudi. Ni ile Ligi inayoacha mashabiki wake wakiwa na machozi, jasho, damu, tabasamu, hasira, vicheko na mshangao. Ligi Kuu England imerudi tena na leo kuna pambano moja kati ya Manchester United na Leicester City pale Old Trafford.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here