Pele anasema hivi Liverpool mabingwa

0
9Liverpool ilimaliza kwenye nafasi ya nne katika msimu uliopita ambapo Manchester City walibeba ubingwa, lakini Pele anaamini kwamba safari hii wakali hao wa Anfield watamtoa kapa Pep Guardiola na chama lake la huko Etihad.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here