Orodha ya wachezaji waliohama siku ya mwisho kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu England Agosti 2018:

0
17
Dirisha kuu la uhamisho wa wachezaji England lilifungwa mnamo Alhamisi 9 Agosti saa moja kwa saa za Afrika Mashariki (ambayo ni sawa na  saa kumi na moja England – 17.00BST), mwaka huu soko likifungwa mapema kuliko misimu ya awali.
Klabu zinazocheza ligi nyingine England na Wales, miongoni mwake ligi za Championship, League One na League Two bado zinaweza kuendelea kuwanunua wachezaji hadi mwisho wa mwezi huu.

9 Agosti

Ligi Kuu ya England
* saa ni wakati (kwa BST) uhamisho ulipotangazwa na klabu
20:30 Danny Ings [Liverpool – Southampton] Mkopo
20:20 Andre-Frank Zambo Anguissa [Marseille – Fulham] £22.3m
20:20 Timothy Fosu-Mensah [Manchester United – Fulham] Mkopo
20:02 Andre Gomes [Barcelona – Everton] Mkopo
20:02 Yerry Mina [Barcelona – Everton] £27.19m
19:21 Domingos Quina [West Ham – Watford] Ada Haijafichuliwa
19:01 Luciano Vietto [Atletico Madrid – Fulham] Mkopo
18:59 Martin Montoya [Valencia – Brighton] Ada Haijafichuliwa
18:35 Federico Fernandez [Swansea – Newcastle] iliripotiwa kuwa £6m
18:30 Harry Arter [Bournemouth – Cardiff] Mkopo
18:00 Caglar Soyuncu [Freiburg – Leicester] iliripotiwa kuwa £19m
18:00 Jordan Ayew [Swansea – Crystal Palace] Mkopo
17:40 Joe Bryan [Bristol City – Fulham] £6m
17:18 Sergio Rico [Sevilla – Fulham] Mkopo
17:15 Peter Gwargis [Jonkopings Sodra IF – Brighton] Ada Haijafichuliwa
17:01 Isaac Mbenza [Montpellier – Huddersfield] Mkopo
17:00 Carlos Sanchez [Fiorentina – West Ham] Ada Haijafichuliwa
16:59 Dan Burn [Wigan – Brighton] Ada Haijafichuliwa*
*Burn atarejea Wigan kwa Mkopo hadi Januari 2019
16:50 Bernard [Shakhtar Donetsk – Everton] Bila Ada
14:30 Leander Dendoncker [Anderlecht – Wolves] Mkopo
13:00 Victor Camarasa [Real Betis – Cardiff] Mkopo
10:45 Filip Benkovic [Dinamo Zagreb – Leicester] Ada Haijafichuliwa
10.31 Lucas Perez [Arsenal – West Ham] Ada Haijafichuliwa
10:02 Mateo Kovacic [Real Madrid – Chelsea] Mkopo
08:06 Daniel Arzani [Melbourne City – Manchester City] Ada Haijafichuliwa
Ligi za Soka England na Wales (The Championship, League One na League Two)
21:00 Joe Garner [Ipswich – Wigan] Ada Haijafichuliwa
19:27 Donervon Daniels [Wigan – Blackpool] Bila Ada
18:30 Josh Windass [Rangers – Wigan] Ada Haijafichuliwa
18:00 Connor Ripley [Middlesbrough – Accrington] Mkopo
18:00 Lee Angol [Mansfield – Shrewsbury] Ada Haijafichuliwa
18:00 Duane Holmes [Scunthorpe – Derby] Ada Haijafichuliwa
18:00 Ryan Colclough [Wigan – Scunthorpe] Ada Haijafichuliwa
17:59 Jason Shackell [Derby – Lincoln] Bila Ada
17:30 Sam Clucas [Swansea – Stoke] £6m
17:20 Jason McCarthy [Barnsley – Wycombe] Ada Haijafichuliwa
17:02 Joan Luque [Heybridge Swifts – Lincoln] Ada Haijafichuliwa
17:01 Gary Gardner [Aston Villa – Birmingham] Mkopo
17:00 Declan John [Rangers – Swansea] Ada Haijafichuliwa
17:00 Peter Vincenti [Coventry – Macclesfield] Bila Ada
16:59 Jamie Hanson [Derby – Oxford] Ada Haijafichuliwa
16:55 Josh Gordon [Leicester – Walsall] Ada Haijafichuliwa
16:44 Tsun Dai [Bury – Oxford] Ada Haijafichuliwa
16:31 Jay Dasilva [Chelsea – Bristol City] Mkopo
16:30 Isaiah Osbourne [Forest Green – Walsall] Bila Ada
16:04 Ricky Holmes [Sheffield United – Oxford] Mkopo
16:00 Michael Hefele [Huddersfield – Nottingham Forest] Ada Haijafichuliwa
15:30 Alex Jakubiak [Watford – Bristol Rovers] Mkopo
14:00 Callum Connolly [Everton – Wigan] Mkopo
14:00 Stefan Payne [Shrewsbury – Bristol Rovers] Ada Haijafichuliwa
13:15 Lukas Nmecha [Manchester City – Preston] Mkopo
12:33 Anthony Gerrard [Oldham – Carlisle] Bila Ada
12:00 Andy Mangan [Bala Town – Accrington] Bila Ada
11:29 Canice Carroll [Oxford – Brentford] Ada Haijafichuliwa
11:00 Kayden Jackson [Accrington – Ipswich] Ada Haijafichuliwa
11:00 Ollie Norburn [Tranmere – Shrewsbury] Ada Haijafichuliwa
09:00 Ivan Toney [Newcastle – Peterborough] Ada Haijafichuliwa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here