Hekalu la Samatta linasajili Simba yote

0
10KAMA utaamua kubisha utakuwa ni tabia yako tu, lakini straika wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, sio mtu wa mchezo mchezo kabisa. Unajua nini? Msimu uliopita Simba ilipiga kelele sana juu ya kikosi chao cha Sh1.3 bilioni, lakini sasa ukisikia habari ya mjengo wa nyota huyo wa kimataifa wa Tanzania utajua kuna tofauti ya tui na maziwa, licha ya kufanana rangi.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here