HAACHWI MTU: Mademu waliohama na waume zao dirisha hili

0
10UTAMU wa dirisha la usajili huwa unaleta raha kweli kweli. Unajua nini, kinachotokea si kuhamishwa kwa wachezaji tu, bali warembo wa wachezaji hao ambao wamekuwa wakiandamana na waume zao kila wanapokwenda jambo linalowafanya timu zinazowasajili kuongeza mvuto kwenye majukwaani ya viwanja vyao vya nyumbani.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here