Cannavaro aagwa kwa kiroba cha mchele

0
10MASHABIKI wa Yanga Mbeya mjini wamemzawadia kilo 40 za mchele mchezaji wao, Nadir Haroub Cannavaro’ ikiwa ni sehemu ya kutoa heshima na kutambua mchango wake wa kuitumikia klabu hiyo hadi alipoamua kustaafu soka.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here