Bondia Katie Taylor kutetea taji WBA kwa wanawake

0
7Bondia wa Katie Taylor mzaliwa wa Ireland, atatetea taji lake la ubingwa wa Dunia wa vyama vya IBF na WBA uzani wa Light kwa wanawake kwa kucheza na Cindy Serrano, pambano litakalofanyika mjini Boston, Oktoba 20 mwaka huu.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here