AUSSEMS: Akiuchezea ule mziki wa Jangwani, inakula kwake mapema tu Simba

0
19SIMBA imeanza maisha mapya ikiwa na Kocha Mkuu Mpya, Patrick Aussems kutoka Ubelgiji. Kocha Aussems ndio kwanza anaingia wiki ya tatu tangu asaini mkataba wa mwaka mmoja wa kukinoa kikosi hicho cha mabingwa wa soka nchini.Source link

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here