Wema Sepetu Yupo Tayari Kushuhudia Ndoa Ya Diamond na Zari

0
7

Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu ameshangaza watu wengi baada ya kufunguka kuwa anatamani a Ex wake Diamond Platnumz na Baby mama wake Zarinah Hassan wafunge Ndoa.

Wema alifunguka hayo baada ya video ya wimbo wa Iyena wa Diamond kutoka siku ya Ijumaa ambapo ndani yake yupo Zari kama video queen ambapo ndani ya video hiyo wanafunga ndoa.Wema alimtaka Diamond kufanya kweli na kumuoa mama watoto wake huyo ambapo aliandika maneno haya Kupitia ukurasa wake wa Instagram:

New Track Alert Ila kama ingekuwa Pambe ingekuwa Kweli. Just thinking out Loud, Diamond Chibudeeee Fanya kweli bwana. Inshallah mwaka huu hata mwakani. Tuje kucheza Baikoko sie, Rayvanny Kazi nzuri”.


Hili suala limewaacha watu vinywa wazi kidogo k sababu hasa ukiangalia kuwa Zari aliweka wazi kuwa alimtosa Diamond baada ya video kusambaa zilizomuonyesha Diamond na Wema wakikumbatiana Kwenye kumbi za starehe Miezi minne iliyopita. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here