Wachezaji wa Brazil walichomfanyia Coutinho kwenye birthday yake (+Picha)

0
9

Wachezaji
wa timu ya taifa ya Brazil wamesherehekea siku ya kuzaliwa kwa kiungo
wao, Philippe Coutinho kwa kumpiga na mayai huku wakimwagia unga baada
ya kutimiza miaka 26 hii leo Juni 12.

Kikosi hicho kilichopo nchini Urusi kikijiandaa na michuano ya kombe
la Dunia kimetumia muda wake kumuunga mkono nyota huyo wa Barcelona
kwenye sherehe hiyo kwa kumpiga na mayai huku wakimwagia unga ikiwa kama
sehemu ya tamaduni ya watu wa Brazili.

Zifuatazo ni picha zinazoonyesha matukio ya sherehe hiyo ya kiungo
mshambuliaji wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazili, Philippe
Coutinho.

by richard@spoti.c.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here