Singida United imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu katika Michuano ya SportPesa Super

0
8

KENYA: Klabu ya Singida United kutoka Tanzania imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu katika Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega HomeBoys kwa penati

Singida imeishinda Kakamega kwa penati 4-1, walipigiana penati baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika wakiwa wamefungana goli 1-1

Michuano hiyo ambayo inamalizika leo, itamalizika baada ya mechi ya fainali kati ya Simba SC(Tanzania) na Gor Mahia(Kenya) kuchezwa. Mechi hii inaanza majira ya saa 9:00 alasiri

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here