RIPOTI: The Story of Adidon ya Pusha-T yaharibu biashara ya Drake na Adidas

0
2

Ngoma mpya ya The Story of Adidon ya Pusha-T huenda ikawa imemuumiza zaidi Drake na kumuharibia dili lake nono.

Dili hilo tena na kampuni yake mpya ya Adidas ambayo amedaiwa kusaini nayo mkataba baada ya kuachana na Jordan.

Inadaiwa kuwa “Adidon” ni jina la brand ya viatu na sweatsuits mpya
za Drake ambazo zimetokana na jina la Adonis ambalo ni jina la mtoto wa
Drake.

Wakati huo huo imeelezwa kuwa Imeripotiwa kuwa Drake alikuwa amepanga
kumtangaza mtoto wake huyo kwenye dili hilo na Adidas. Hata hivyo Pusha
anasema Drizzy anataka kumtumia mtoto wake ili auze bidhaa zake kwa
sababu alimtelekezamtoto huyo siku nyingi.

by richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here