“Napiga tizi nije huko yanga msiwaze” Paschal Wawa

0
13

-Beki wa kimataifa raia wa Ivory Coast Pascal Serge Wawa, amesema kwa sasa yupo kwenye maandalizi kabambe ya kutua kwenye kikosi cha Yanga ambapo muda wowote kuanzia sasa anaweza kuwa mchezaji wa timu hiyo.

-Wawa ambaye amekuwa akiwindwa kwa hali na mali na Yanga, amesema wala hawezi kukataa kujiunga na timu hiyo ndiyo maana ameanza mazoezi mapema ili akijiunga na timu hiyo awe fiti kupambana.

-Wawa ambaye kwa sasa ni mchezaji huru, aliwahi kuitumikia Azam FC kabla ya mwishoni mwa mwaka 2016 kuhamia El-Merreikh ya Su­dan aliposaini mkataba wa miaka miwili ambao tayari umemalizika.
@yossima Sitta Jr.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here