Je unajuwa ni kwa nini maiti hawazikwi kwa miezi au hata kwa miaka nchini Ghana?

0
3

Majeneza huagizwa kwa mtindo unaovutia Ghana

Wiki iliyopita kulikuwa na taarifa jinsi mazishi yanavyotekelezwa huko Ghana.

Mwili
wa chifu aliyefariki miaka sita iliyopita ulikuwa kwenye hifadhi ya
maiti kutokana na mzozo kwenye familia ya nani atakaye kuwa
”muombolezaji maalum.”
Lakini
taarifa hiyo haishangazi kwani ni mazoea ya raia wa Ghana kuiacha miili
ya wafu kwenye hifadhi ya maiti kwa muda mrefu ili kusuluhisha mizozo
inayoibuka baada ya kifo chochote kinachotokea nchini humo.

Raia wa Ghana wanasifika kwa majeneza yaliyobuniwa kwa miundo tofauti kama hili lililotengenezwa maalum kwa chifu.
Utamaduni huu unaangaziwa na jamii inayotoka kusini mashariki, Ga.
Maonyesho ya majeneza yamefunguliwa rasmi ya Jack Bell Gallery huko London.
Mazishi yaliyoghali zaidi na yaliojaa mbwembwe na majeneza yaliotengenezwa kwa miundo tofauti yamehifadhiwa.
 by richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here