Ishu ya umri katika mapenzi yamshangaza Zari, ‘Watu na vibabu vyenu’

0
18

Mzazi
mwenza wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameelezwa kushangazwa na
jinsi jamii inavyomchukulia mwanamke mwenye umri mkubwa kuwa na
mahusiano na kijana mdogo wa kiume.

Zari amesema lakini jamii haishangai pindi mwanamke mdogo anapokuwa na
mahusiano na mtu mzima zaidi. Kupitia mtandao wa Snapchart ameandika;

Sitting here and thinking. Society is so quick to judge
an older woman dating a young guy, but not a 40+ guy dating a 19 yr old.
so tyical! Watu na vibabu vyenu.

Utambuka Zari na Diamond wamewahi kuwa katika mahusiano na kujaliwa
kupata watoto wawili na inafahamika Zari ni mkubwa kwa Diamond. Baada ya
kuachana kwao hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinadai kuwa
wamerudiana ila hakuna kati yao aliyethibitisha hilo.
BY richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here