Deontay Wilder aridhia kuzipiga na Anthony Joshua ndani ya Uingereza dau nono latengwa

0
9

Promota
maarufu, Eddie Hearn amesema kuwa bingwa wa uzito wa juu duniani
Mmarekani, Deontay Wilder amekubali kupigana na Anthony Joshua ndani ya
ardhi ya Uingereza.


Bingwa wa uzito wa juu duniani Mmarekani, Deontay Wilder

Hapo awali bingwa huyo wa WBC, Wilder alisita kuingia makubali kwa
kuhofia upendelo kwa mpinzani wake Joshua mwenyemikanda ya WBA, IBF na
WBO akiamini kuwa atatumia nafasi yake ya uwepo nchini kwao na hivyo
kumshinda lakini hatimaye bondia huyo wa uzito wa juu ameridhia kuzipiga
hapo Uingereza.


Bingwa wa uzito wa juu duniani Mmarekani, Deontay Wilder

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa twitter bondia huyo mwenye umri wa
miaka 32 ameandika kuwa nafasi ipo wazi kwa yeye kupigana nchini
Marekani pambano lijalo kwa kutengewa kitita cha dola milioni 50. Wakati
hii leo akiwa amekubali ofa yake ya kupigana nchini Uingereza.

He tweeted: “The $50m offer for him to fight me next in the US is still
available. Today I even agreed to their offer to fight Joshua next in
the UK.”

by richard@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here