BREAKING : Madrid yamtangaza kocha wao mpya

0
9

Patrick 03:
BREAKING:

Klabu ya real madrid imemtangaza kocha wa timu ya taifa ya hispania JULEN LOPTEGUI
Kuwa ndie atakuwa kocha wao mpya baada ya kumalizika kwa fainali za kombe la dunia 2018 nchini russia akiiongoza hispania

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here