Babu Tale Atua Afrika ya Kusini, Akutana na Zari

0
12

Kama alivyokuwa amehaidi , Babu Tale amesafiri na kwenda Afrika ya kusini huku akisema kuwa lengo lake kubwa ni kutaka kukaa chini na zari ili aweze kurudiana na Diamond Platinumz kama zamani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here