VIDEO: Tambwe anyoosha mikono kwa Okwi,

0
9

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Simba SC, Emmanuel Okwi amesema kuwa anamshukuru Amissi Tambwe kwa kukubali ambacho amekifanya na kukubali kuwa Okwi ni mfungaji bora na amevunja rekodi yake.

Okwi anaongoza kwa ufungaji wa kwasasa latika Ligi Kuu Bara msimu wa 2017/2018 ambapo anaongoza akiwa na mabao 20 huku akikaribia kuivunja rekodi ya msimu wa 2015/2016.

Simba inaongoza Ligi ikiwa na pointi 65 ambapo jana iliwakabili Ndanda FC Kutoka Mtwara wa kuwafunga bao 1-0 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


Credit: Global Publishers

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here