VIDEO: Kimenuka: Wema amjibu Kiba

0
3

Baada ya Alikiba kupost cover ya wimbo wa Ommy Dimpoz na kuandika kuwa endapo video hiyo itafikisha watazamaji milioni tatu ataliamsha Dude, Wema ameweza kupost pia kipande cha wimbo huo na kuonyesha kuukubali sana wimbo huo na kupost ujumbe ulio someka hivi; “Alie sema video ya Ommy Dimpoz haitafikisha watazamaji milioni tatu nani?


Credit to Global Publishers

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here