VIDEO: Dr shika baada ya kupokea mabilioni yake

0
2

Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ”Tutaelewana”. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi bora kabisa ambayo ni ghorofa ambalo kwa ndani linaonesha si haba.

VIDEO:

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here