ROMMY Jones Kusuka Twende Kilioni ili Afanane na Wema Sepetu

0
10

Rommy Jones amuahidi Wema Sepetu kwamba na yeye ataenda kusuka nywele mtindo wa twende kilioni ili afanane na Wema Sepetu.

Uamuzi huo wa Rommy Jones umekuja mara baada ya Wema kupost picha akiwa amesuka nywele kwa mtindo huo.

Kauli ya Rommy imeibua maswali mengi sana kwa wadau mbalimbali wengine wakimuunga mkono wazo lake huku wengine wakimkandia vibaya sana.

Credit: Udaku

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here