PICHA: Zari, Vera Sidika Wakutana Live Baada ya Bifu la Muda Mrefu

0
7

Masista duu wanaosumbua kwenye mitandao ya kijamii, zari the bosslady (Uganda) , pamoja na Vera Sidika(Kenya) wamekutana na kupiga picha ya pa moja  baada ya muda mrefu kudaiwa kuwa kwenye bifu la chini kwa chini huku kila mmoja akidai yeye ndo Bosslady wa East Africa… 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here