Nyashinski aeleza kinachomkwamisha kufanya kolabo na wasanii wa WCB

0
4

Image result for diamond na Nyashinski

Hit
maker wa wimbo Malaika na nyimbo nyingine nyingi, Nyashinski amefunguka
kuzungumzia kitu kinachokwamisha kufanya kazi na wasanii wa WCB.

Muimbaji huyo wa Kenya ambaye anafanya vizuri Afrika Mashariki na
Afrika kwa ujumla, asema wasanii wa WCB wako busy sana ndio maana
hajafanya kolabo yoyote na wasanii wa label hiyo ambao wanafanya vizuri
kila kona ya Afrika.
“Ningependa sana kufanya kazi na wasanii wa Wasafi…lakini wako busy sana.” Nyashinski aliiambia BBC.
Nyashinski amesema anaamini wasanii wa label hiyo wanafanya vizuri
kutokana na kufanya kazi kwa bidii hali ambayo inawafanya kuwa busy
kutokana na shunguli mbalimbali za muziki wao.
by richard@spoti.co.tz
Chanzo: Bongo5

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here