Nandy” Nilizimia kusikia Video yangu ya Kitandani imesambaa”

0
4
“Kiukweli nilistushwa na simu nilizokuwa napigiwa, sikujua ni kitu gani lakini baadae nilipojua ukweli, nilizimia kwa mujibu wa meneja, lakini mimi sikujua kama nilizimia, nilichanganyikiwa sana, hadi sasa sijajua ni nani aliisambaza ile video na alikuwa na nia gani” Nandy


Ukikutana leo hii na Nandy utapenda kumwambia nini au kumshuri nini?
Source: Udaku special

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here