Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

0
10

Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.
Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne

Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa

  1. Diamond
  2. Ali Kiba
  3. Prof  Jay
  4. AY
  5. Lady Jaydee
  6. Harmonize
  7. Rayvanny
  8. Mwana FA
  9. Rich Mavoko


Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata
Credit: Udaku Especially

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here