Kutoka Nike mpaka Toyota: Mikataba 31 inayomfanya Ronaldo kuwa mwanamichezo tajiri zaid Duniani.

0
8

Mwanamichezo huyo wa Real Madrid akiwa na miaka 33 akielekea ukingoni mwa maisha yake ya soka CR7 bado anaendelea kuvutia makampuni makubwa Toyota ni kampuni nyingine iliyojiunga na brand ya CR7 hivi karibuni na dili linamhakikishia nafasi ya kwanza tena katika listi ya wanamichezo wanaolipwa vizuri zaidi duniani.
Forbes waliripoti kwamba kwa mwaka 2017, Cristiano Ronaldo aliingiza bank kiasi cha $93m – sawa na zaidi ya billioni 220 za kitanzania.
Jarida hili linaripoti kwamba $58m kutoka kwenye fedha hizo zimetoka na mshahara na bonasi kutoka Real Madrid na nyingine zimetoka na malipo ya udhamini wa makampuni ya biashara na biashara zake nyingine..
LISTI YA MAKAMPUNI YA BIASHARA YANAYOFANYA KAZI NA RONALDO.
Coca Cola,
KFC
video games maker Konami
Emirates Airline
Banco Espirito Santo
Castrol Oil & petrol
Emporio Armani
Soccerade Sports drink
Herbalife Supplements & sports nutrition.
JBS Clothing (retail)
Samsung Consumer electronics
Jacob and Co. Fashion
TAG Heuer Watches
Clear Shampoo Cosmetics & toiletries
Sportlobster
MTG Pharmaceutical
PokerStars.com
Abbott Laboratories
Altice
ZTE
Smaaash Entertainment
XTrade
Exness Brokerage & consulting
PanzerGlass
Egyptian Steel
American Tourister
Toyota.
Source: The times

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here