Kocha: Matokeo ya Yanga yametuweka pabaya

0
5

Kocha wa Yanga Noel Mwandila amesema matokeo ya leo yanazidi kuongeza ugumu wa kundi badala ya kupunguza.
Mwandila amesema pamoja na kupoteza mchezo huo Yanga ina nafasi ya kujipanga na  michezo ijayo.
Kocha huyo alisema Yanga imepoteza mchezo hivyo inapaswa kujitazama wapi ilipokosea na kurekebisha badala ya kujiaminisha kwamba matokeo ya sare baina ya Rayon Sports na Gor Mahia yana faida kwao

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here