Jerry Muro adai Yeye Alikuwa ni Nabii wa Yanga Ndiyo maana Walikuwa wanashinda mechi zao.

0
1

Aliyekuwa afisa habari wa klabu ya Yanga, Jerry Muro amesema kuwa ndani ya timu hiyo alikuwa kama nabii na wala hakuajiriwa.
Muro amesema hayo huku akijinasibu kwamba kila alilolitabiri kuhusiana na michezo ya Yanga yalitokea.   

Kwamfano Muro anasema, aliwahi kutabiri ushindi wa goli sita dhidi ya mchezo wao na Costi Union ya Tanga. Mchezo huo kweli uliisha kwa Yanga kujishindia Goli sita kama ambazo Nabii Jerry Muro alizitabiri.
Utabiri huo wa Nabii Muro, ulifanikiwa kwa kuwa siku ya mchezo nayo ilikuwa ni Tarehe 6. 
Kuna umuhimu wa Yanga kujitathmini upya, wajitathmini na waitathmini nafasi ya kuwa na nabii huyu kwa mara nyingine.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here