Jangwa linamomonyoka juma abdul yulee azam

0
3

#DaudaTransferUpdates

Jangwa linazidi kumomonyoka
imeripotiwa kwamba beki wa kulia wa Yanga, Juma Abdul huenda akajiunga na Donald Ngoma katika klabu ya Azam FC kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here