ZARI AFANYA KUFURU KWA ALIKIBA BAADA YA NDOA, ANGALIA ZAWADI ALIYOITOA ZARI KWA ALIKIBA

0
12
Mwanamitindo Zari ameamua kuonyesha kufuru yake kwa Alikiba baada ya kufurahishwa na kitendo au maamuzi aliyoyachukua ya kuamua kuoa mwanamke na sio mke, swala hili limemfanya Zari amtengenezee Alikiba kitu cha kipee kuonyesha kuwa ameguswa sana na amependezwa sana na kitendo hiki.
Haya ndio maajabu ya Zari aliyoyafanya jana na kuamua kumtunikia Zawadi hii ya Kimataifa Alikiba. Ila huu ni msumari wa moto  kwa Diamond. Tazama maajabu haya hapa chini. Hongera sana Alikiba
Chanzo: JamiHalisi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here