Yanga yafuzu hatua ya makundi

0
13

Klabu ya Yanga SC Imefanikiwa kufuzu hatua ya Makundi ya Kombe La Shirikisho Afrika Hi leo Baada ya kuitoa Klabu ya Welayta Dicha ya Ethiopia.

Yanga SC imefuzu kwa Faida ya Magoli Mawili ya Nyumbani na baada ya hii leo Kufungwa Goli Moja.

Welayta Dicha 1-0 Yanga SC
Aggregate 1-2..

-BIG UP YANGA SC

Source: @Harun Lugoya
Na: Agape Patrick
Email: agape@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here