'WENYE TIMU', SUAREZ NA MESSI WAKIPANGA MBINU ZA KUIUA ROMA LEO

0
2

Mshambuliaji Luis Suarez (kushoto) akimuambia kitu mwenzake, Lionel Messi aliyeipa mgongo kamera wakati wa mazoezi ya Barcelona ikijiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Roma leo Uwanja wa Olimpico mjini Roma. Barca ilishinda 4-1 kwenye mechi ya kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Camp Nou.
by richard@spoti.co.tz
chanzo-daily mail

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here