SIRI IMEFICHUKA: ZARI YAMEMSHINDA HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA LEO KWA DIAMOND

0
9
Mwanamitindo maarufu kutoka Uganda aitwaye Zari ameushangaza umma leo kwa kile alichokifanya kwa Diamond na watoto wake wawili huku akiwaonyesha watoto wa aliyekuwa mumewe Ivan kwa taswira tofauti na kusema maneno haya.
“Kila mtoto huja duniani kwa majaaliwa ya Mungu na huishi vile mungu atakavyotaka aishi” Sikuzaa ili nifanye maonyesho ila nilikuwa natekeleza majukumu yangu.  Nimetengeneza haka Katangazo ili kila mmoja ajue kuwa sina ubaguzi na kwa Msanii Diamond bado kwani nimeshapigwa mhuri wa moto kwake.
Angalia kitu alichokitengeneza Zari….duuuh!! Hii ni Shidaaaa!!!!!!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here