Simba SC kunusa ubingwa leo

0
9


Simba inaikaribisha Tanzania Prisons leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Kikosi hicho kimetoka kupata alama tatu kwenye mechi iliyopita dhidi ya Mbeya City kwa jumla ya mabao matatu kwa moja.

Tayari timu zote zimeshakamilisha maandalizi kuelekea mechi hiyo ambayo itaanza majira ya saa 10 jioni.

Endapo Simba ikishinda mchezo huo itazidi kujiwekea mazingira ya kuzidi kuunusa ubingwa wa ligi kwa kufikisha alama 58 dhidi ya watani zake wa jadi Yanga walio na 47
Source: Saleh Jembe
Na: Agape Patrick
Email: agape@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here