SEMENYA: Atakiwa kupunguza Homoni zake za Kiume kama Anataka kwenda huku..

0
5
Caster Semenya

Caster Semenya, mwanariadha wa Afrika ya Kusini, anaetawala
katika kipengele cha Mbio fupi za wanawake anaweza kufikia mwisho wa utawala
wake baada ya sharia mpya yenye vigezo vipya kuanzishwa . Kutokana na sharia hiyo
mpya, Semenya atatakiwa kupunguza  HOMONI
zake ambazo nyingi ni za kiume katika mwili wake, kama inavyofahamika kwamba
Semenya ana vinzsaba vya Jinsia mbili.
Hivyo basi Semenya na wanariadha wengine wenye aina hiyo ya
miili wanatakiwa kufanya jitihada za kupunguza HOMONI hizo ikiwa wanataka
kushiriki katika mashindano ya Olympic na Mashindano ya dunia.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here