SALAH ALIVYO TAYARI LIVERPOOL MECHI NA MAN CITY LEO ETIHAD

0
2

Wachezaji wa Liverpool, beki Mholanzi Virgil van Dijk (kushoto) na mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah wakinyoosha viungo mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya leo dhidi ya wenyeji, Manchester City Uwanja wa Etihad. Liverpool ilishinda 3-0 mchezo wa kwanza .
wiki iliyopita Uwanja wa Anfield.
by richard@spoti.co.tz
chanzo-daily mail 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here