R Kelly ashtakiwa kwa ‘kumwambukiza kwa makusudi’ ugonjwa wa Hatari mpenzi wake

0
3

Kutoka nchini Marekani mwanamuziki mkongwe nchini humo R Kelly anakabiliwa na mashtaka mapya ya ‘uovu wa kijinsia’ kwa mpenzi wake wa zamani ambaye amedai kuwa R Kelly alimwambukiza kwa makusudi ugonjwa wa zinaa wakiwa Dallas.

Kwa mujibu wa Lee Merritt ambaye ni mwanasheria wa binti huyo, binti huyo amekuwa mwathirika wa jambo hilo akiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na R Kelly katika kipindi cha miezi 11.

Binti huyo anadai kuwekwa kizuizini na mwanamuziki huyo jambo ambalo ni kinyume na sheria, n akumtendea matendo mengine ya kunyanyasa kingono.

Chanzo: Millardayo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here