Posti ya lwandamina akiwatakia ushindi yanga leo

0
10

Siku ya leo tarehe 28 April mabingwa watetezi yanga watashuka dimbani huko ethiopia kuwakabili mahasimu wao Wolayta Dicha katika hatua ya mtoano ili kufuzu makundi ambapo mzunguko wa kwanza yanga akiwa home alishinda kwa magoli 2:0 na leo ni mchezo wa marudiano

Kuelekea mchezo huo kocha wa zamani wa yanga George Lwandamina (GL) amewatakia kila la kheri timu yake hiyo ya zamani kuelekea mechi ya leo kwa kupost maneno haya Facebook??

Na: Agape Patrick
Email: agape@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here