Muigizaji huyu Wa Bongo Movie, Azimia Msibani huku Kashika Vitu Vyake visipotee

0
5

Wasanii wa Bongo movie siwawezi, mnaigiza hadi msibani!! Yaani mmeona msibani ndiyo LOCATION? Mtu unazimia na bado unakuwa na nguvu za kushikilia mali zako mkononi ili visipotee  kweli??? Nguvu hizo unatoa wapi?/

Mwigazaji Irene Paul Naye Akerwa na Picha ya Mwombolezaji Aliyezimia huku Ameshika Vitu vyake visipotee mazishi ya Masogange
_
Regrann from @irenepaul001 – Maskini pamoja na kuzimia/kuishiwa nguvu lakini aliweza kuwa na nguvu ya kushika vitu vyake… wote tumeguswa lakini pia tusifanye msiba ya wenzetu kama sehemu ya kupata kiki zetu!! TUIHESHIMU kama kweli tuna malengo mema ya kumsindikiza mwenzetu kwa upendo, na zaidi tujue kutofaufisha kati ya LOCATION ZA FILAMU na DUNIA YA UKWELI.

Kuna vitu havikeri ila VINACHEFUA!! I am sorry to say umenichefua leo.. na bora ungekuwa Jinsia yetu angalau!! Ningelala na hili ningekabwa!! Pumzika kwa Amani AGNES!!

(BONGO MOVIE WENGI UZURI TUNAJUANA NA HAPA TUMEELEWANA). 

Source: Udaku Soecial

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here