Mohamed Salah Aifikia Record Ya Luis Suarez Liverpool Lakini Klop Hajafurahi Kabisa

0
8
Mohamed Salah

Jurgen Klop, kocha wa Liverpool ameshuhudia Mohamed Salah akiifungia timu yake goli linguine la muhimu kabisa na kujiongezea katika idadi ya magoli yake katika msimu huu ambao Salah amekuwa mwenye mafanikio makubwa sana.
Kufunga goli kwa Salah ni jambo ambalo Klop amependezewa nao sana lakini kupendezwa huko hakuondoi simanzi na majonzi ambayo ameondoka nayo leo – Juma Mosi  katika uwanja wa Hawthorn baada ya kulazimishwa sare ya 2 –2  na timu ya West Bromwich Albion
Salah aliifungia Liverpool goli la pili ambalo limemfanya kuifikia Record alioiweka Luis Suarez ya magoli 31 miaka mine iliyopita. Licha ya Kuifikia historia hiyo ya Klabu, iliyokuwa inashikiliwa na Luis Suarez ya kufikisha idadi ya magoli 31, lakini pia Salah amefikisha idadi ya magoli 41 katika michezo yote 46 aliyoichezea Liverpool.

Na: sabby@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here