Kauli za baadhi ya makocha EPL kuhusu wenger kuondoka

0
3

Huku kocha wa arsenal arsene wenger katangaza kuwa ataachia ngazi mwisho wa msimu baadhi ya makocha EPL wametoa ya moyoni kuhusu wenger akiwepo pia sir alex ferguson kocha mstaafu aliyewahi kuinoa manchester utd kwa mafanikio makubwa
Kauli za makocha hao ni kama hivii

“Tunapaswa kumpa heshima WENGER kwa kile alichokifanya”- Antonio Conte

“Wenger ni mmoja wa makocha bora zaidi ktk EPL”-Sir Alex Ferguson

“Wenger alikua Role model”-Jurgen Klopp

“Leo ni moja ya siku mbaya  tulizowahi kuwa nazo ktk soka”-STAN KORENKE

“Ninaamini Wenger anastahili HESHIMA kwa aliyoyafanya Arsenal”-José Mourinho

“Wenger ni kielelezo cha EPL…Namtakia mema”-PEP Guardiola

Na: Agape Patrick
Email: agape@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here