Hans van der pluijm yuleeeee Azam

0
3

Za kunyampia nyampia!!

Hans Van Pluijm Inasemekana haina uhakika wala uthibitisho wa 100% Ameanza kuaga Wachezaji wake Hapo Singida United..

Safari ya kutua Azam FC Inanukia…Kwenda Yanga ni za Chini Sana kuliko Azam Ambao Inasemekana Mkataba wa Awali Umesainiwa.
Kwahiyo tusubirie habari kamili muda utakapofika kama atatua kwa matajiri wa azam wana lamba lamba na matajiri wa dar es salaam

Na: Agape Patrick
Email: agape@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here