HABARI PICHA: Diamond Atelekeza watoto? Angalia mwenyewe

0
1

Kwa tafsiri isiyo rasmi Zari, a.k.a Mama Tifa Gangote anasema ” Mameneja wengine inabidi wawe wanafanya kazi ya kuhakiki ubora na maana ya kila jambo linalosemwa na kufanywa na wasanii wao wanapokuwa wanatafuta umaarufu katika jamii kutokana na kauli zao… lini ilikuwa mara ya mwisho kuwaona watoto wako? nadhani watakuwa wameshakusahau. Fikiri kabla ya kuandika chochote . mjinga. na akamalizia na msonyo wa maana!.

Mwenye akili hasubirii kuambiwa huu ujumbe umemlenga nani, bila shaka ni ndugu yetu ” A boy from Tandale”

Mbona ghafla?
Hawa watu walikuwa pamoja siyo muda mrefu uliopita, tena wakiwa wenye mahaba mazito! hawa watoto walifanywa kama bendera maana hawakuisha kupeperushwa na wazazi wote wawili, sasa imekuwaje ghafla namna hii kwa baba kubadilika? ni wanawake wapya? ni mtoto wake mwingine ndiye aliyechukua nafasi ya wenzie? au ni ujana? Kama ni kweli kilichoandikwa na “The boss lady” basi ninaamini kwamba historia huwa haitufundishi kabisa!

Na: sabby@spoti.co.tz

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here